Mungu Anakufahamu Kabla Hujazaliwa , Yupo Pamoja Na Wewe Wakati Wote

Neno la BWANA lilinijia kusema,  Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la  mama yako nilikujua,  kabla hujazaliwa nilikutenga kwa kazi maalumu, nilikuweka uwe nabii kwa mataifa.’’

Jiandae! Simama nawe useme cho chote nitakachokuamuru. Usiwaogope wao la sivyo nitakufanya uwaogope wao. Leo nimekufanya mji wenye ngome, nguzo ya chuma na ukuta wa shaba ili kusimama dhidi ya nchi yote, dhidi ya wafalme wa Yuda, maafisa wake, makuhani wake na watu wa nchi hiyo. Watapigana nawe lakini hawatakushinda, kwa kuwa niko pamoja nawe nami nitakuokoa,’’ asema BWANA.

Yeremia 1:4-5,17-19

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s