Mungu Anakupenda, hutuma Malaika Wake Akulinde

“Tazama, ninamtuma malaika akutangulie mbele yako akulinde njiani na kukuleta mpaka mahali nilipoandaa. Mtamtii na kusikiliza kile anachokisema. Usiasi dhidi yake, kwa maana hatakusamehe uasi wako, kwa maana Jina langu limo ndani yake. Kama ukitii kweli kweli kile asemacho na kufanya yote nisemayo, nitakuwa adui wa adui zako, nitawapinga wale wakupingao.

Kutoka 23:20-22

Sala..

Ee Mungu, usikilize sala yangu

wala usijifiche nikuombapo rehema

unisikilize na kunijibu

maana nakutegemea wewe

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s