Mungu Baba Anakupigania Dhidi Ya Adui Zako, USIOGOPE

Mtakapokwenda vitani kupigana na adui zenu na mkaona farasi na magari ya vita na jeshi kubwa kuliko lenu, msiwaogope, kwa sababu BWANA Mungu wenu aliyewatoa kutoka Misri, atakuwa pamoja nanyi. Wakati mtakapokaribia kwenda vitani, kuhani atakuja mbele na kuhutubia jeshi. Atasema: ‘‘Sikia, Ee Israeli, leo unakwenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao. Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ni mmoja, ndiye huenda pamoja nanyi kuwapigania dhidi ya adui zenu na kuwapatia ushindi.’’

Kumbukumbu la Torati 20:1-4

Sala Yangu Leo..

Kwa Msaada Wa Mungu,

Nitalisifu Jina Lako Asubuhi,

Nimemtumaini Mungu Sitaogopa

Mwanadamu Atanitenda Nini?

Amina

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s