Omba kwa imani bila kuchoka, Mungu atajibu

Mwanamke mmoja Mkananayo aliyeishi jirani na sehemu hizo akaja kwake, akilia, akasema, “Nihurumie,Ee Bwana, Mwana wa Daudi, binti yangu amepagawa na pepo na anateseka sana.’
Lakini Yesu hakumjibu neno. Hivyo wanafunzi wake wakamwendea na kumsihi sana, wakisema, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele.’’
Yesu akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.’’
Lakini yule mwanamke akaja, akapiga
magoti mbele ya Yesu, akasema, ‘‘Bwana, nisaidie!’’

Yesu akajibu, ‘‘Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.’’
Yule mwanamke akajibu, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka kwenye meza za bwana zao.’’
Ndipo Yesu akamwambia, “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.’’Naye binti yake akapona tangu saa ile ile.

Matayo 14: 22-28

Advertisements

One thought on “Omba kwa imani bila kuchoka, Mungu atajibu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s