Stay Focused

“Hakuna mtu ye yote awezaye kuwatumikia mabwana wawili, kwa kuwa ama atamchukia huyu na kumpenda yule mwingine, au atashikamana sana na huyu na kumdharau huyu mwingine. Ninyi hamwezi kumtumikia Mungu na mali.”

Matayo 6:24

Katika kila jambo unalolifanya shikamana na jambo hilo. Mtumikie Mungu zaidi kuliko vitu vya dunia hii.

Ubarikiwe.