Zaburi 1: 1-3

Heri mtu yule ambaye haendi
katika shauri la watu waovu,
Wala hafuati njia ya wenye dhambi
au kukaa katika baraza la wenye
mizaha.
2Lakini huifurahia sheria ya BWANA,
nayo huitafakari mchana na usiku.
3Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya
vijito vya maji,
ambao huzaa matunda yake kwa majira na
majani yake hayanyauki.
Kila afanyalo hufanikiwa.

Psalms 1: 1-3

Advertisements

13 thoughts on “Zaburi 1: 1-3

  1. ukikaa ndani mwa bwana hakuna linalo kurekesha nyuma, ,,,na kwa uhakika ukiwafanyia watu mambo mema nawe unabarikiwa sana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s