Jipe Moyo

Ndugu,

Hakuna lililo gumu katika ulimwengu ukijipa moyo, kwa maana Yesu anasema “Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani Yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana Mimi nimeushinda ulimwengu.’’ Yohana 16:33.

Hivyo mpandwa, lililo kuu ni kujiaptia amani kwa kuwa ndani ya Yesu , na utapata amani kwa kumpa Yesu maisha yako.

Tuombe: Bwana Yesu, uliye mkuu , nifanye nikaenda ndai yako siku zote kwa kutenda mema ili unishindie dhiki niliyonayo.  Amina

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s