Jikane, jitwike msalaba, mfuate Yesu

carryingthecross-2Mpendwa katika Kristo,

Yesu anapenda ufike kwa baba yake na anakuasa kutenda yaliyo mema ili kuufikia ufalme wa Baba Yake, huko mbinguni, ni vema basi kuacha anasana za ulimwengu huu na kushika amri zake . Yesu anasema “... Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate.

Kwa kuwa mtu atakaye kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na mtu atakayepoteza nafsi yake kwa ajili yangu, ataiona.

Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?

Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.” Mathayo 16 : 24-27

Tumwombe Mungu basi atupe neeema za kukumbuka wajibu wetu wa kujikana na kuchukua msalaba ili kufika mbinguni.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s