Ukitamani hekima zishike amri

courtesy:quotesvalley.comMpendwa,

Hekima ni jambo zuri, na la maana katika dunia hii, unapokuwa na hekima unakuwa na utambuzi wa kuamua mambo viruzi, hekima huongoza maisha ya kiroho na kimwili , hivyo ni vema kujichotea hekima toka kwa Mungu na “ Ukitamani hekima zishike amri, naye Bwana atakupa tele” Yoshua Bin  Sira 1:26. Kumbe hekima huja kwa kuzishika amri za Mungu.

Tumbombe Mungu atujalie kuzishika amri zake ili tujazwe na hekima tele.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s