Sifanye maamuzi kwa mwonekano

Mpendwa,

Mungu leo anatuelekeza kuwa , katika kufanya shughuli za kila siku , tusiangalie hali ya nje au mwonekano wa nje , kwani inaweza ikawa sivyo unavyodhani, au matokeo yake yakawa tofauti na mategemeo. Siku zote kabla ya kufanya jambo ni vema kuchunguza kwa undani. Katika kitabu cha Hekima ya Yoshua Bi Sira 11:2-3 tunasoma “Usimsifu mtu kwa ajili ya uzuri  wa uso, wala usimbeze kwa sababu ya sura yake. Nyuki ni mdogo katika warukao, bali matunda yake hupita tamutamu”. Hivyo yatupasa kutomdharau mtu au kitu kwa mwonekano wake, kwani faida yaweza kuwa kubwa kuliko tujuavyo.

Tuombe: Mungu wa mbinguni, nakushukura kwa ajili ya siku ya leo, nijaze hekima yako niweze kufanya maamuzi yaliyo bora kwa kils nikionacho na nikifanyacho. Amina

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s