Maombi ya mtu mnyofu humfurahisha Mungu

“Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa Bwana, bali maombi ya mtu mnyofu in furaha yake.” Mithali 15:8

Mpendwa unapotaka kumtolea Mungu sadaka, ni vema kuwa na moyo safi na kutofanya machukizo kwake, kwani Bwana hapendi sadaka ya mtu mwenye machukizo kwa hiyo ni vema kujitakasa kabla ya kutoa sadaka yako. Kwa upande mwingine hakuna ombi ambalo Mungu linamfurahisha, kama la mtu mnyofu, ambaye matendo yake ni mema na anayefuata amri zake.
Tumombe Mungu basi atujalie tuwe watu safi ili tutoapo sadaka yetu isiwe ya machukizo kwa Bwana na maombi yetu yafurahishwe naye. Amina

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s