Jipeni Moyo…

Yohana16: 32-33Dhiki ni nyingi hapa duniani; vita, magonjwa, hali mbaya ya kiuchumi, familia kusambaratika, uhasama kati ya watu, ugomvi na mengi magumu ya dunia, yote haya ayanaweza kukuvunja moyo na kukuhuzunisha, hata hivyo leo Yesu anasema “…walakini mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yu pamoja nami, Hayo nawaambieni mpate kuwa na Amani ndani yangu. Ulimwengu mnayo dhiki; lakini jipeni moyo, mimi nimeushinda ulimwengu” Yohane 16: 32-33. Basi ndugu ujipe moyo, uwe na moyo mkuu, usikate tamaa kwani amueshinda ulimwengu, na hauko peke yako, upo na Yesu ambaye naye yupo na Baba yake, kwa maana hiyo nawe upo na Baba Yake,  hivyo ukimtumaini Mungu basi yote yatafika mwisho na utafunguliwa katika yale magumu yanaokukabili.

Amina.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s