Jiwekee hazina mbinguni

Matayo 6:19-21Mpendwa,

Hazina ni kitu cha thamani ambacho unaweza ukawa nacho, na mara nyingi kitu cha thamani huwezi kukihifadhi hovyo hovyo, bali utakitunza mahala pazuri na pa usalama. Hazina inaweza ikawa ni matoleo yako kwa Mungu au in matendo yako mema unayowafanyia wenzako. Kwa kutoa na kutenda mema unampendeza Mungu naye Anahifadhi hazina zako hizo mbinguni. Yesu anasema “ Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;  bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi; kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.” Matayo 6:19-21 . Basi kuwa mkarimu wa kumtoela Mungu zaka na sadaka, bila kusahau kujitoa kwa kuwatendea mema wenzetu, na kwa kufanya hivyo, tunajiwekea hazina mbinguni, na siku ya mwisho tutaikuta salama , kwani hakuna wevi wa kuuiba wala nondo wa kuiharibu.

Tuombe: Bwana Mungu, baba wa milele, asante kwa siku ya leo, nipe nguvu na neema za kujiwekea hazina mbinguni.  Amina

4 thoughts on “Jiwekee hazina mbinguni

  1. Nawasalimu katika Jina la Bwana, mimi ni mtumishi wa Mungu hapa DRC mashariki,ninatamani kujiunga na watu wa Mungu ili tuchukuliane kimaombi na kutiana moya katika huduma maana zama hizi ni za uovu na umoja ni nguvu. Mbarikiwe

  2. Image editors will also be helpful to create backgrounds,
    edit looks of subjects, in order that the overall album looks nicer and brighter.

    If you are able to find sufficient time, you will want to become an activist fighting to the bird’s right.

    In order to avoid the lighting reflects over glass and hides your eyes(It sometimes creates odd green colors around the surface or reflections originating from every direction).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.