Bwana Hatakuacha, usiogope

Mpendwa,

Mungu baba ni mwema sana na anakupenda “Naye Bwana, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.” Kumbukumbu la Torati 31:8

Kwa hiyo usihofu wala kuwa na wasiwasi kwani Mungu anajua kwa nini unapaitia katika hali uliayonayo sasa, naye yupo nawe daima na atakupa njia ya kuondoka hapo, mwamini.

Tuombe: Ee Baba Mungu, ndiwe mkuu kuliko wote asante kwa kunitagulia katika maisha yangu. Amina

Keep Calm God Will Never Leave You”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s