Mungu ni wa faraja

Mpendwa,
Mungu ni wa faraja, na anatufariji tukiwa katika dhiki yeyote, leo unapokuwa katika shughuli za siku, ni vema kukumbuka kuwa , linapotokea jambo la kukuvunja moyo, Mungu natakutazama na anakuinua kwa kukupa faraja, na upatapo faraja hii , nawe inapendeza ukamtia moyo mwingine na kumfariji mtu ambaye ana shida au dhiki katika maisha, kufarijiana sisi kwa sisi ni vizuri, kama vile Mungu anavyotufarija. Mtume Paulo anatuambia “Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.” 2 Wakorinto 1:3-4.
Basi tumwome Mungu atufarijie, tupokee kwa Imani na matumaini faraja yake pale tunapovunjika moyo kwa dhiki za dunia, na tusambaze faraja hizo kwa wengine. Amina
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s