Jina la Bwana ni ngome imara

Mpendwa

“Jina la Bwana ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama” Mithali 18:10; Je umeliita jina la Bwana leo? Unapokuwa katika shida ama furaha liite jina la Bwana, kwani ulitajapo tu, yule mwovu hutishika na kukuacha, hiyo ndiyo ngome imara. Yesu anatufundisha namna bora ya kuikimilia hiyo ngome, kilitaja jina la Bwana, kwa kusali sala ya Bwana “Baba Yetu uliye mbinguni…” Matayo 6:9. Unapolikimbilia jina la Bwana, jitakase na utende haki, kwani ni mwenye haki tu ndiye takuwa salama.

Courtesy: YouTube

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s