Mungu huwabariki watu wote , zidi kumwomba

Mpendwa ,

Mungu ni mwema na anakukumbuka siku zote, kama mwanadamu anaweza tekeleza yampasayo kwa mwingine, sembuse Mungu alieyekuumba, mwombe na mtumaini yeye

Lakini Sayuni alisema, “BWANA
ameniacha, Bwana amenisahau.”
“Je, mama aweza kumsahau mtoto aliyeko
matitini mwake akinyonya?
Wala asiwe na huruma juu ya mtoto
aliyemzaa?
Ingawa anaweza kusahau,
Mimi sitakusahau wewe!
Tazama, nimekuchora kama muhuri katika
vitanga vya mikono yangu,
kuta zako zi mbele yangu daima.

Isaya 49:14-16

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s