Bwana atakulinda na mabaya yote, Mkimbilie na Mtumaini

coutresy: offdcouch.com
God will keep you safe

Mpendwa,

Katika maisha tunakutana na vikwazo vingi na majaribu mengi, na tuna maadui wengi wa roho na wa mwili, lakini Mungu wetu ni mwema sana anatulinda siku zote, tunachotakiwa kufanya ni kujiweka chini ya ulinzi wake, tukimkimbilia na kumtumanini kwani “Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.” Zaburi 91:1-2. Kwa hiyo mpendwa ni vizuri tumkimbilie Mungu, tujifunze neno lake na kuomba kila mara , kwani kwa kufanya hivyo “Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.” Zaburi 121:7-8.

Tuombe: Mungu wa Mbinguni, Asante kwa kunilinda siku zote, nipe moyo wa kukutumaini wewe na kujiweka chini ya ulinzi wako kwa sala na kusoma neno lako. Amina

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s