Mtegemee Mungu, Utabarikiwa

Mpendwa, Katika maisha tunakuwa na maswala mbalimbali tunayofanya, kiroho na kimwili, shughuli zetu au maombi yetu yatakuwa na maanda zaidi tukimshirikisha Mungu wetu mwema, kumtegemea na kumtumaini Mungu kwa kila jambo kunafanya tubarikiwe naye, kwani Yeremia 17:7 anasema “Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, ambaye BWANA ni tumaini lake”
Basi tumwombe Mungu mwema atupe neema ya kumtanguliza Yeye kwa kila jambo.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s