Bwana atakupigania dhidi ya adui zako, Usiogope

Mpendwa,

Unapokuwa ukitenda mema, si kila mtu anayependa hayo unayoyatenda, wapo wengine wasiopenda ufanyayo kwa sababu zao wenyewe, lakini unatakiwa kuwa na moyo mkuu na kuendelea kuyantenda yanayotakiwa na Bwana bila kuogopa. Mungu atakupigania dhidi ya aduai zako, kama alivyowapigania wana wa Isrealei dhidi ya Farao na jeshi lake, unachotakiwa kufanya ni kusonga mbele. Unapoona adui akikufuata kumbunka maneo ya Munda kwa wana wa Isreale, “ Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.” Kutoka 14:13-14. Kwa hiyo ndugu usigope lolote, Mungu atakupigania dhidi ya adui zako, endelea kusonga mbele , naye Mungu atafungua njia upite, kama aliyomwambia Musa apige fimbo na kuachanisha bahari ili wana waisraeli wapite (Kutoka 14: 15-18) na adudi yako akitaka kupitia njia uliyo pita wewe hapo ndipo Mungu atafanya makuu na kukupigania na kumwangamiaa adui huyo. Usigope songa mbele.

Tuombe: Mungu wa milele wewe ni mwema na unanipigania siku zote, fungua njia na kunipa mwangaza kwa kutenda yale yaliyo mema bila woga. Amina.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s