Mimi ndimi Bwana, Mungu wako

Mpendwa ,

Bwana Mungu asema “Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza” Zaburi 81:10, je Misri yako ni ipi, tabu ulizokuwa nazo, majaribu ya ulimwengu, kukataliwa, magonjwa, ni ipi hasa Misri yako? Mungu leo amekuona na anakwambia kumbuka ulipokuwa Misri yako, ulikuwa na mengi uliyomlilia naye amekutoa huko, je unamkumbuka Mungu wako, unampenda na kumwabudu. Mungu wetu ni mwema sana bado anatoa nafasi zaidi ya wewe kujazwa na neema zake, unachotakiwa ni kufungua moyo wako na kumpokea yeye naye atakujaza.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s