Tuenende kwa hekima

Mpendwa,  Mungu mwema na akubariki , karibu.
Leo tutafakari kuhusu hekima, Yapaswa katika maisha yako, kuenenda kwa hekima kila wakati, ni vizuri kila unapo fanya jambo , kumwita Roho ili aweze kukujaza hekima za kufanya maamuzi yaliyo bora, kwani kwa kutumia hekima tutafanya mengi ya kumpendeza Mungu. Neno linatukumbusha “Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.  Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.  Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;  mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;  na kumshukuru Mungu Baba siku zote kwa mambo yote, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo;  hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo” Waefeso 5:15=21
Basi tuzidi kumwomba  Roho Mtakatifu ili tuwe watu wa hekima.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s