Imani yako imekuponya

Mpendwa,

Amani ya bwana iwe nawe,

Imani ni muhimu katika maisha ili kuweza kupata yale tunayomuomba Mungu. Mungu anaangalia je unapoomba unaamini kuwa utapata ? au unaaomba tu kwa sababu umeamua kufanya hivyo. Tuwe kama Yule kipofu aliyeulizwa na Yesu, wataka nikufanyie nini, yeye hakufikiri mara mbili akasema nataka nipate , kuona na “Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Mara akapata kuona; akamfuata njiani” Marko 10:52. Yesu leo anakuuliza “Wataka nikufanyie nini?” Basi mpendwa jibu kwa imani, omba kwa imani unalotaka Mungu akufanyie leo, kwa imani yako atalifanya.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s