Mnaamini kwamba naweza kufanya hili?

Mpendwa,

“Yesu alipokuwa akipita kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaza sauti, wakisema, Uturehemu, Mwana wa Daudi. Naye alipofika nyumbani, wale vipofu walimwendea; Yesu akawaambia, Mnaamini kwamba naweza kufanya hili? Wakamwambia, Naam, Bwana. Ndipo alipowagusa macho, akasema, Kwa kadiri ya imani yenu mpate. “

Je wewe mpendwa unaamini kuwa Yesu anaweza kukutoa hapo ulipo, katika hali ya ungojwa pengine, ama tabu unayopata? Ni imani yako tu ndiyo itakayokuokoa kutoka katika kila jambo, Mwamnini Yesu.

Matayo 9:27-29

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s