Mrudie Mungu

Mpendwa,

Kadiri tunavyokaribia siku ya Pasaka ndivyo tunatikiwa kuongeza bidii katika kumrudia Mungu. Neno linatumabia “Ee Israeli, mrudie Bwana, Mungu wako; maana umeanguka kwa sababu ya uovu wako.  Chukueni maneno pamoja nanyi, mkamrudie Bwana; mkamwambie, Ondoa maovu yote, uyatakabali yaliyo mema; na hivyo ndivyo mtakavyotoa sadaka za midomo yetu kana kwamba ni ng’ombe. ” Hosea 14:1-2.

Israeli ya leo ni wewe na mimi, basi tumwombe Mungu wa huruma natupe nguvu ya kuacha mabaya na kutenda mema.

courtesy: http://www.truthortradition.com/articles/return-to-me-god

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s