Tuwaombee Watumishi wa Mungu

Mpendwa,

Mtume Paulo, alipowaandikia Wakolosai, moja ya mambo aliyo wasisitiza ni kudumu katika kuomba, anasema “Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani; mkituombea na sisi pia, kwamba Mungu atufungulie mlango kwa lile neno lake, tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa,  ili niidhihirishe, kama inipasavyo kunena.” Wakolosai 4:2-3. Mpendwa, ni vema kudumu katika kuomba kila siku, Mungu anasikiliza kwa yale mambo tunamwomba, lakini mbali ya kuomba kwa aili ya nafsi zetu, ni vema kuwaombea wachungaji wetu, mapadri, maaskofu , wainjilisti na wote wanao inena siri ya Kristo, mtume Paulo alisisitiza hili, nasi basi tuwaombee hawa watumishi wa Mungu ili Mungu awape nguvu ya kunena kwa ujasiri na ukweli neno la Lake.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s