Ninyi ni nuru ya ulimwengu

Mpendwa,

Bwana Yesu anasema “ Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.  Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.” Matayo 5:14-16. Je umeshajiuliza kama wewe ni nuru?  Nuru huja kwa kufanya yale ambayo ni mema, Yesu anatuambia nuru yako iangaze ili watu wapate kuyaona matendo mema unayotenda. Lakini je u mwaminifu kwa Mungu, kwamba matendo yako yanakuwa mema wakati wote, inawezekana watu wakakuona una matendo mema kwa nje, lakini je moyoni mwako mbako Mungu pekee ndiye anaona, una matendo mema, au kuna mambo unafaya kwa uwazi ambayo ni mema  na mengine ambayo si mema unafanya kwa kujificha ili watu wasikuone, kumbuka Mungu anakuona.

Mwombe Mungu ili uwe mwaminfu, na uwe nuru ya kweli kwa kutenda mema wakati wote mbela za macho ya watu na macho ya Mungu.

courtesy: http://www.askmen.com/video/basics/how-to-light-a-candle-with-spaghetti-basics.html

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s