pitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe

Mpendwa,

Je umekuwa katika wakati mgumu katika maisha yako? Mungu mwema anakupenda na yupo pamoja nawe , matatizo yako hata yakiwa kama mto mkubwa wa maji unaoshindwa kuuvuka ama moto mkali sana, Yeye Mungu mwema siku zote anakwambia “Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.”

Isaya 43:2, 4

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s