Usiogope wala usifadhaika

Mpendwa,

Tunapokuwa katika shughuli zetu, iwe ni katika ofisi tumejiriwa, tumejiajiri, tunafaya biashara au hata miradi mbalimbali, inawezekana, tunakatishwa tamaa na mazigira au matokeo ya kile tunachokifanya, napenda leo ufahamu kuwa kila kitu kinawezekana kama ukimtumania Mungu,  usiogope lolote, piga mbio, inuka kila unapoanguka, au fanya kazi kwa bidii bila kujali macho na maneno ya watu, mtegemee Mungu siku zote naye atakupa kila jema, Mungu anasema “...Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako” Yoshua 1:9

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s