Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu

Mpendwa,

Je unatafuta heshima wapi? kwa wanadamu au kwa Mungu. Mungu anakuheshimu endapo tunamtumikia, neno linasema “Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu.” Yohana 12:26. je unamtumikia Mungu?, kumtumikia Mungu ni pamoja na kujishughulisha na kutenda kazi katika kanisa lake, kutenda yale Mungu nayopenda; kusoma na kutangaza neno la Mungu, kushirikiki katika shughuli za kulijenga kanisa , kusali na kuomba, kusaidia wengine, hizi zote na nyingine nyingi ni kazi za kumtumikia Mungu, ukifanya hivyo Baba wa Mbinguni atakuheshimu.

Basi fanya hima kuanzia leo umtumikie Mungu upate kuheshimiwa Naye.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s