Sikiliza zaidi upate maarifa

Mpendwa,

Mungu ametupa masikio mawili na mdomo mmoja, na hilo limefanyika kwa malengo, Mungu anapenda tusikilize zaidi kuliko kusema, kwani “Moyo wa mwenye busara hupata maarifa; Na sikio la mwenye hekima hutafuta maarifa.” Mithali 18:15. Kabla ya kuzungumza sikiliza kwanza kwa vile “unapozungumza unarudia kile unachokijua, lakini unaposikiliza unaweza kujifunza kitu kipya” alisema Dalai Lama.

Ubarikiwe

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s