About

Karibu sana katika NenoLaFaraja. NeloLaFaraja ni maalumu kwetu sote, linakuja kwa ajili yakupeana maneno mazuri ya Mungu, kuna blog za nyingi sana hii ni mojawapo ambayo linatupa neno ya tumaini na la kufariji katika maisha yetu ya kimwili na kiroho, ndiyo maana namshukuru Mungu kuanza kwa NenoLaFaraja.

Karibu sana na jisikie huru kutoa maoni yako ya kujenga kiroho na kimwili wakati wowote, maoni yote yataonekana, tuma kwa e-mail nenolafaraja@gmail.com.

NenoLaFaraja itakuwa upadated kila mara

Tafadhali wajulishe na wengine kuhusu NenoLaFaraja.

Ubarikiwe sana na Karinu sana.

NenoLaFaraja (neno)

9 thoughts on “About

  1. Huduma yenu ni njema, songa mbele, infact mwanangu wa kwanza nimempa jina Barnaba naamini wajua kwamba tafsiri yake ni Mwana wa faraja. Naam neno la faraja ni muhimu sana kwa watu wa Mungu chini ya jua.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.