Sala Ya Asubuhi

Ee BWANA, tazama walivyo wengi adui zangu!  Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! Wengi wanasema juu yangu, “Mungu hatamwokoa.’’ Lakini wewe, Ee BWANA, ni ngao pande zote, umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu.

Ninamlilia BWANA kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka katika Mlima wake mtakatifu. Ninajilaza na kupata usingizi, naamka tena, kwa maana BWANA hunilinda. Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaonizunguka pande zote.

Ee BWANA, Amka, uniokoe, Ee Mungu wangu! Wapige adui zangu wote kwenye taya, vunja meno ya waovu. Kwa BWANA hupatikana wokovu. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

AMINA

8 thoughts on “Sala Ya Asubuhi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.