Sala ya Baraka

Bwana unibarikie, na kunilinda;  Bwana uniangazie nuru za uso wako, na kunifadhili;  Bwana uniinulie uso wako, na kunipa amani. Unipelekee msaada toka patakatifu pako, Na kunitegemeza toka Sayuni. Uzikumbuke sadaka zangu zote, Na kuzitakabali dhabihu zanguUnijalie kwa kadiri ya haja ya moyo wangu, Na kuyatimiza mashauri yangu yote. 

Amina

 Hesabu 6: 24-26, Zaburi 20: 2-4

One thought on “Sala ya Baraka

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.