Sala Ya Jioni

Unijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki!  Unipumzishe katika shida zangu, unirehemu usikie ombi langu.  Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu kuwa aibu mpaka lini? Mtapenda udanganyifu na kufuata miungu ya uongo mpaka lini? Fahamuni hakika kwamba BWANA amewatenga wale wamchao kwa ajili yake, BWANA atanisikia nimwitapo Katika hasira yako usitende dhambi, mkiwa vitandani mwenu, mtulie kimya mkitafakari mioyoni mwenu.  Toeni dhabihu inavyotakiwana mumtegemee BWANA. Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lo lote?’’ Ee BWANA, utuangazie nuru ya uso wako. Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata ngano na divai kwa wingi. Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee BWANA, waniwezesha kukaa kwa salama.

AMINA

3 thoughts on “Sala Ya Jioni

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.