Sala ya Kufariji

Ee Bwana, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi. Laiti ungeniongezea ukuu! Urejee tena na kunifariji moyo. Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako. Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Kwa sababu umenitumainisha. Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenihuisha. Wenye kiburi wamenidharau mno, Sikujiepusha na sheria zako. Nimezikumbuka hukumu zako za kale, Ee Bwana, nikajifariji. Ni huruma zako Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zako hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. Bwana wewe ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitakutumaini wewe.

AMINA

2 thoughts on “Sala ya Kufariji

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.